Labels

NEWS

         Hii ni mesej ya Bob Junior baada ya kufika Europe

                     HII NDIO OFFICIAL FAN PAGE YA WEMA SEPETU
Akiwa mbioni kuzindua Ofisi ya Kampuni yake iitwayo ENDLESS FAME FILMS
iliyopo Mwananyamala Komakoma...Siku tatu kabla msanii huyo mahiri wa Filamu
Wema Sepetu amefungua Fan Page ambayo ni kwaajili ya Mashabiki wake amabayo itakuwa ikiripoti matukio mbalimbali yatakayokuwa yanapatikana kwenye WEBSITE yake...

                            MSANII GOLDIE HARVEY AFARIKI DUNIA
Msaanii wa Muziki aliyeshiriki shindano la Big Brother Africa 2012,
Goldie Harvey amefariki dunia jana usiku katika Hospitali ya
Reddington huko Victoria Island, Lagos.

No comments:

Post a Comment

Andika comment yako kisha bonyeza Anonymous PUBLISH