Ads 468x60px

Labels

Featured Posts

.

Hizi ni sim 5 za mkononi anazotumia Wema Sepetu

Mkurugenzi wa kampuni ya Endless Fame Films Wema Sepetu...
Amewashangaza wengi kwa kitedo cha kumiliki sim tano za mkononi
zenye ghalama kubwa na aina ya sim hizo ni
Iphone 5,Blackberry Bold 4,Brackberry Z10,Samsung Galaxy S3 pamoja na Galaxy Note 2

SHILOLE AFANYA KUFURU SOUTH AFRICA____

Shilole akifanya yake sasa....
Ni  miuno tu kwakwenda mbele.... 
Malkia wa MduaraShilole akiwa na Baby Boy & Mafia baada ya kuwasili Afrika kusini...

EXCLUSIVE VIDEO: AVRIL-HAKUNA YULE

Listen an Download WIMBO MPYA WA BOB JUNIOR

HII NDIO OFFICIAL FAN PAGE YA WEMA SEPETU

Akiwa mbioni kuzindua Ofisi ya Kampuni yake iitwayo ENDLESS FAME FILMS
iliyopo Mwananyamala Komakoma...Siku tatu kabla msanii huyo mahiri wa Filamu
Wema Sepetu amefungua Fan Page ambayo ni kwaajili ya Mashabiki wake amabayo itakuwa ikiripoti matukio mbalimbali yatakayokuwa yanapatikana kwenye WEBSITE yake...

MSANII GOLDIE HARVEY AFARIKI DUNIA

Msaanii wa Muziki aliyeshiriki shindano la Big Brother Africa 2012,
Goldie Harvey amefariki dunia jana usiku katika Hospitali ya
Reddington huko Victoria Island, Lagos.