Labels

ABOUT US

BIG LEVEL ''VIPAJI KWA MAFANIKIO''
Ilianza kama camp na camp hiyo ilipewa jina la Twiga Camp,Ilikuwa ikiongozwa na Vijana watatu amabao ni Best Werema,Ibrahim Ally,Dickson Thomas na First Lady alikuwa ni Lilian Werema (Queen of Tarime)
(Queen of Tarime)
Mwaka 2006 Twiga Camp ilikufa na baada ya hapo Big Level Vipaji kwa Mafanikio ikazaliwa,kwasasa Big Level ipo robo tatu ya mikoa ya Tanzania na kufanikiwa kuwa na Matawi yake Mkoani Mara Wilayani Tarime na Jijini Dar es salaam.

SIFA ZA KUJIUNGA NA BIG LEVEL
1:Uwe tayari kuitangaza Big Level popote uwendapo
2:Uwe na Tabia inayoipendeza Jamii
3:Uwe mwaminifu na Muadilifu
4:Uwe tayari kumsaidia Mwanachama Mwenzio
5:Uwe mwepesi wa Kufikiria pamoja na Ubunifu
6:Uwe na Elimu ya Sekondari na kuendelea
7:Uwe na Umri kuanzia miaka kumi na Tano
8:Uwe tayari kufanya kazi mda wowote
9:Uwe na kipaji cha aina yoyote

 
Baada ya kusoma sifa za kujiunga na kundi hili la Big Level ''Vipaji kwa Mafanikio'' unapaswa kuandikia E-mail ya maombi ukiambatanisha na majina yako yote,Mahali ulipo pamoja na picha yako kwenye E-mail yetu ya zabiglevel@yahoo.com

No comments:

Post a Comment

Andika comment yako kisha bonyeza Anonymous PUBLISH