Labels

HII NDIO OFFICIAL FAN PAGE YA WEMA SEPETU

Akiwa mbioni kuzindua Ofisi ya Kampuni yake iitwayo ENDLESS FAME FILMS
iliyopo Mwananyamala Komakoma...Siku tatu kabla msanii huyo mahiri wa Filamu
Wema Sepetu amefungua Fan Page ambayo ni kwaajili ya Mashabiki wake amabayo itakuwa ikiripoti matukio mbalimbali yatakayokuwa yanapatikana kwenye WEBSITE yake...

No comments:

Post a Comment

Andika comment yako kisha bonyeza Anonymous PUBLISH